Tuesday, November 6, 2012

KUMEKUCHA UNIQUE MODEL 2012


Wanamitindo wote wenye ndoto za kukuza vipaji vyao mnaombwa mjitokeze siku ya tarehe 18/11/2012 siku ya jumapili saa nne asubuhi katika hoteli ya Lamada iliyopo maeneo ya Msimbazi ili kufafanyiwa usaili wa kupata tiketi ya kuingia UNIQUE MODEL  a.k.a "gold room".

Ewe mwanamitindo usikose nafasi hii adimu ya kutimiza ndoto zako za kuwa mwanatindo maarufu na atakaepata dili kibao za mitindo ndani na nje ya nchi, jitokeze ni wakati wako sasa binti.
Unique model 2012 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel, Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd, Sophernner Investment co ltd, K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd, Oriental bureau de  change,,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,wajanja club.

1 comment:

  1. Ӏ quite like reaԁing an artісlе that will mаkе
    men anԁ women think. Alsο, thankѕ for permіtting me tο comment!
    Wedding
    Feel free to surf my homepage : Pinoy Videographer

    ReplyDelete