Thursday, December 6, 2012

FRANSIC MIYAYUSHO VS NASIBU RAMADHANI KUPIMA UZITO UWANJA WA KARUME JUMAMOSI HII


Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa na bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' kulia na mmoja ya washabiki wa mchezo wa ngumi kutoka Tabata Super D ameamua kuamasisha mchezo wa masumbwi kwa kutoa flana za jezi zenye nembo yake kwa ajili ya kuamasisha mchezo wa masumbwi jezi hizo zitakazokuwa zikiuzwa kwa bei ya 15,000 tu kwa wapenzi mashabiki na mabondia wanaopenda mchezo huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Super D wa pili kulia akiwa na baazi ya mabondia wa tanzania

Promota wa mpambano wa Ubingwa wa WBF Mohamed Bawaziri Katikati akiwa na mkanda wa ubingwa watakaogombania mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na Fransic Miyayusho wakati wa utambulisho wa mpambano huo utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba tarehe 9 Desemba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

NASSIBU RAMADHANI KUSHOTO NA FRANSIC MIYAYUSHO

No comments:

Post a Comment