Saturday, December 8, 2012

TIGO, MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA WAHAMASISHA KUJITOLEA DAMU, Kuna umuhimu wa kuchangia mara kwa mara kwasababu damu haiwezi kuhifadhiwa zaidi ya siku 35. Kumbuka Damu yako inakua mwilini kwa siku 90 tu! baada ya hapo inakufa nakutengeneza nyingine.







Mwanasheria wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Kay Ngalomba, akitolewa damu kwenye zoezi hilo la uchangiaji Damu.
Utulivu muhimu wakati wa zoezi la uchangiaji damu.
Afisa Muuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama akimchoma sindano mmoja wa wau waliojitokeza kwenye zoezi hilo linalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Kampuni ya Tigo Kijitonyama jijini Dar es Salaa.

No comments:

Post a Comment