Tuesday, December 4, 2012

MSHINDI WA MAISHA PLUS SEASONS3 AKABIDHIWA KITITA CHAKE


Meneja wa Tawi la NMB, Makao Makuu Benadicta Byabato akimkabidhi mshindi wa maisha plus seasons3  Bernick Kimiro milioni 20 leo kwenye ofisi za benki yake leo

Bernick Kimiro akiwa amekumbatia milioni 20 zake alizozisotea maisha plus seasons3

Bernick Kimiro akiwa na kaka yake Abdulazizi Abasi wakifurahia mshiko


Bernick Kimiro akiwa na Abdulazizi Abasi (kaka yake) na Rachel Ndauka (rafiki yake) wakifurahia mkwara

Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro

Bernick Kimiro akikabidhiwa mkwanja wake na Francis Bonda (kushoto) na David Sevuri (kulia0

No comments:

Post a Comment