Mtaalamu wa kutoka damu kutoka Mpango wa Taifa
wa Damu Salama, Judith Chale akimtoa damu mkazi wa Kinondoni, Zawadi Bakari wakati wa zoezi la upimaji wa afya kwa hiari
na uchangiaji wa damu lililoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya
kuchangia damu Tanzania (BLODAT) na kufanyika leo kwenye viwanja vya Biafra jijini
Dar es Salaam
Mtaalamu wa kutoka damu kutoka Mpango wa Taifa
wa Damu Salama, Judith Chale akimtoa damu mkazi wa Kinondoni, Sukwa Mohamedi wakati wa zoezi la upimaji wa afya kwa hiari
na uchangiaji wa damu lililoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya
kuchangia damu Tanzania (BLODAT) na kufanyika leo kwenye viwanja vya Biafra jijini
Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment