Tuesday, January 8, 2013

LIVEE ASUBUHI HII MAENEO YA SOWETO MBEYA


WANAUSALAMA MPOOO ONENI KITUKO HICHO MAPEMA ASUBUHI HII KWELI AJALI ZITAPUNGUA KWA MTINDO HUU?

HII NDIYO HALI HALISI WENYE BAJAJI WALA HAWANA WASI WANAKATIZA KILA MTAA MAENEO YA SOWETO MBEYA YETU ILIPOWAULIZA WAKADAI IPO KWENYE MATENGENEZO

JAMAA HUYO ANATIMKA ZAKE ANAINGIA TENA BARABARANI

Picha na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment