Rais Jakaya Kikwete wa 
Tanzania, akiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani 
(FIFA) Joseph Sepp Blatter na Rais w Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) 
Leodegar Chilla Tenga (kulia) wakati Rais Kikwete na ujumbe wake walip0tembelea 
Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwaliko maalum 
wa FIFA. 
Rais Jakaya Kikwete wa 
Tanzania, akimweleza jambo Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp 
Blatter (kulia) kuhusiana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodeger 
Chilla Tenga. Tenga ambaye pia ni Mwenyeketi wa  Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki (CECAFA). 
 Rais wa FIFA Joseph 
Sepp Blatter akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete bendera maalum ya 
FIFA.
Rais Jakaya Kikwete wa 
Tanzania, na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter 
wakiwa katika mazungumzo wakati Rais Kikwete na Ujumbe wake walipo 
walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa 
Mwaliko maalum wa FIFA. 
The Need For Advertising and marketing Lessons
ReplyDeleteHere is my web site ... lawyer search engine optimization
My web page attorney leads
Continue Reading
ReplyDeleteHere is my page; attorney bankruptcy
Here is my site - bankruptcy file
Hop Over To These Guys
ReplyDeleteMy weblog :: lawyer lead generation
Here is my web-site - seo for lawyers