Rais
Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua
ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa
kuashiria kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa
Ndege wa Kigoma leo .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongozana na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier, mkewe
Mama Salma Kikwete, Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja
na viongozi wengine baada ya uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa
Kigoma leo.
Msanii Diamond na kundi lake wakishambulia jukwaa wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya
Msingi ya Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani
kuelekea mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto
Malagarasi leo.
No comments:
Post a Comment