| Kikundi cha Burudani cha Grand Malt kikonga nyoyo za wazanzibari wakati wa matamasha ya Grand Mult Sauti za busara yanayoendelea mjini Zanzibar. |
| Sehemu ya watu waliojitokeza kwenye matamasha hayo yanayoendelea visiwani humo. |
| Wengi wamepata fursa ya kuonja kinywaji hicho kama inavyoonekana pichani wananchi wa zanzibar wakionja. |
| Wakazi wa mji wa Zanzibar wakiangalia kikundi cha burudani cha Grand Malt wakati wa matamasha hayo. |
No comments:
Post a Comment