Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani wakiangalia madawati waliyokabidhiwa na benki ya NMB
Menejawa
NMB tawi la NMB House Benedictor Byabato akimkabizi Madawati yenye
thamani ya shilingi Milioni Tano mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi
Mwananyamala Kisiwani, Method Rugambarara. Madawati hayo ambayo benki ya
NMB imeyatoa ili kupunguza uhaba wa madawati unaoikabiri shule hiyo
.Makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya shule hiyo jijini Dar
esalaam.
Wanafunziwa Shule Msingi, Ubungo Kisiwani wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na benki ya NMB.
Na Mwandishi Wetu
NMB imekuamsatari wa mbele kutatua matatizo yanayooikumba jamii
na hili inadhiirishwa na misaada mbalimbali ambayo inatolewa na benki
hii kwa wahitaji tofauti tofauti. Hakuna asie jua miundombinu ya shule
zetu za msingi hata sekondari jinsi ilivyo. Kwa kulitambua hili Benkiya
NMB imekua mstari wa mbele kutatua tatizo la madawati kwa shule hizi
.Hivi karibuni Shule ya msingi Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es
salaam ilipata neema hiyo ingawa bado mahitaji ni makubwa,
No comments:
Post a Comment