| Mdau Selemani Katto ameshangazwa na kusikitishwa na maamuzi ya kamati ya rufaa ya uchaguzi kwa kumuondoa Malinzi kwa kigezo cha uzoefu. |
| Kutoka kushoto ni mdau Saidi Bakari, Ayubu Nyenzi na Dossi Matola. |
| Salum Mkemi akisisitiza madai yake ya kupinga maamuzi ya rufaa ya uchaguzi wa TFF. |
| Meza ya wadau wakipinga maamuzi ya kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF chini ya Iddi Mtingijola. |
No comments:
Post a Comment