Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wasita kutoka
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa muunganiko wa makampuni ya
nchini Korea mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu mfumo wa Ki-Electronic wa
shughuli na huduma za uhamiaji katika ofisi za Uhamiaji Makao Makuu, jijini Dar
es Salaam. Miongoni ya makampuni hayo yaliotoa mada ni Consurtium na African
Future Forum.
|
No comments:
Post a Comment