![]() |
| Manji kushoto akimkabidhi Katiba ya Yanga, Mjumbe mwingine, Balozi Ammy Mpungwe |
![]() |
| Manji akimkabidhi Katiba, Mjumbe mwingine, Francis Mponjoli Kifukwe kulia |
![]() |
| Manji kushoto akimuonyesha Mh. Mkuchika mali za klabu zilizopo makao makuu ya klabu |
![]() |
| Mkuchika pembeni ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga akishika moja ya mashine za gym za klabu hiyo |
![]() |
| Balozi Mpungwe akifanya mazoezi kwenye moja ya mashine za gym za klabu hiyo |
![]() |
| Francis Kifukwe kulia akiwaonyesha ukubwa wa eneo la Yanga maeneo ya Jangwani, Mh Mkuchika na Balozi Mpungwe |







No comments:
Post a Comment