Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda, aliyelazwa
katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya
kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda, aliyelazwa
katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya
kujeruhiwa na watu
wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo
ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Gazeti la
Mwana Halisi, Said Kubenea.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absalom
Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu
wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake
maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti Mtendaji
wa Kampuni ya IPP Regnard Mengi.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda.
No comments:
Post a Comment