Eneo la Posta barabara ya Jamuhuri ubavuni mwa jengo la Supermarketi ya Imaraseko likiwa limefurika maji kufuatia kunyesha mvua kwa muda mfupi hali iliyosababisha usumbufu kwa watumiaji wa eneo hilo. |
Watu mbalimbali wakipita kwenye dimbwi hilo la maji kwa kukanyaga juu ya kreti tupu za kuhifadhia Soda baada ya wajasiriamali kuziweka na kuwalipisha shilingi miamoja kwa kila mtu. |
Kazi kwelikweli vijana wabunifu! |
Mmoja wa vijana hao akiwazuia watu ili aweke vizuri vifaa vya kuvukia. |
Magari nayo yalionja karaha ya mvua! |
Eneo la Kariakoo nalo lilikumbwa na uhaba wa magari kutokana na mvua hiyo kusababisha magari mengi kuharibika na abiria kurundikana kwenye vituo vya mabasi. |
No comments:
Post a Comment