Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Airtel pamoja
na Waziri wa Sanyasi, Mawasiliano na Tekenolojia, Profesa Makame Mbarawa
(kushoto). PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania aliyemaliza muda wake Bw. Sam Elangallor.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa kampuni ya Airtel
India Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam, jana
jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa kampuni ya Airtel
India Bw. Sunil Mittal na ujumbe wake alipokutana naye Ikulu, Dar es
salaam, jana jioni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa Airtel na wa Serikali jana jioni Ikulu Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Mkurugeni Mkuu mpya wa
Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso na aliyemaliza muda wake Bw Sam
Elangallor (kulia).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa kampuni ya
Airtel India Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam,
jana jioni.
Na Mwandishi Maalum
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete jana jioni amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti
wa Kampuni ya Bharti Airtel ya India Bw. Sunil Mittal aliyemtembelea na
ujumbe wake kuzungumzia maswala mbalimbali ya sekta ya Mawasiliano. Bw.
Mittal aliongozana na Bw. Manoj Kohli, CEO Internationa wa kampuni hiyo,
Bw. Jayant Khosla, CEO Anglophone Africa, Bw. Sam Elangallor,
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania anayemaliza muda wake, Bw Sunil
Colaso, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Airtel Tanzania pamoja na Bi Beatrice
Singano, Corporate Affairs Director wa Airtel Tanzania.
Katika mazungumzo hayo ujumbe wa serikali ulikuwa ni pamoja na Waziri wa Sanyasi, Mawasiliano na Tekenolojia, Profesa Makame Mbarawa,
Mwenyekiti wa CHC Profesa Marcelina Chijoriga, Kaimu Mtendaji wa CHC
Bw. Dome Malosha, Msajili wa Hazina Mama Mlaki na Mhandisi Clarence
Isokeleza
No comments:
Post a Comment