Mkazi wa jijini Mbeya eneo la Uyole
akimuliwa na askari Polisi baada ya kutaka kupata kichapo kutoka kwa
wananchi baada ya kutuhumiwa kuiba Betri ya gari
Baada ya kutuhumiwa kuiba Betri ya Gari
ndipo wananchi wa eneo la Uyole jijini Mbeya, wakaamua kumfanyia Unyama
wa kumtundika juu ya mti kama yesu alivyotundikwa msalabani
No comments:
Post a Comment