Wasanii
wa kundi la Vichekesho la Kinoko lenye maskani yake Kinondoni jijini
Dar, wakiwakilisha wakati wa tamasha la utangulizi maalum
kwa Uzinduzi wa huduma ya AIRTEL Yatosha lililofanyika mkoani Morogoro leo.
Jukwaani ni mmoja wa wasanii chipukizi wa mkoni Morogoro akiwakilisha wakati Airtel wapolifanya tamasha maalum la uzinduzi wa huduma ya Airtel Yatosha mjini humo leo.
.............................................................
kwa Uzinduzi wa huduma ya AIRTEL Yatosha lililofanyika mkoani Morogoro leo.
Jukwaani ni mmoja wa wasanii chipukizi wa mkoni Morogoro akiwakilisha wakati Airtel wapolifanya tamasha maalum la uzinduzi wa huduma ya Airtel Yatosha mjini humo leo.
Wakazi wa Morogoro waliendelea kujitokeza kwa wingi jukwaani kujiunga na huduma ya Airtel Yatosha kwa Kupiga namba *149*99#,na kupokelewa vyema na wakazi wa mji huo jioni ya leo.
Wakazi wa Morogoro walijitokeza kwa wingi jukwaani kujiunga na huduma ya Airtel yatosha kwa Kupiga namba *149*99#.
Sehemu
ya umati wa watu waliojitokeza viawanja vya shule ya msingi Sabasaba
kushuhudia shamra shamra za uzinduzi wa maalum wa huduma ya AIRTEL
Yatosha mjini morogoro
.............................................................
TAMASHA LA UTANGULIZI LA AIRTEL YATOSHA LATIKISA MKOA WA MOROGORO JANA.
Airtel
yatosha yapokelewa kwa kishindo na umati wa wakazi wa morogoro
waliojitokeza kwa wingi jana katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo mjini
morogoro wakati Airtel ilipofanya tamasha la utangulizi jana na
kutumbuizwa na wasanii wa kundi la COMEDY la KINOKO toka jijini Dar es
salaam
Akiongea
wakati wa tamasha hilo la Utangulizi meneja uhusino wa Airtel Jackson
Mmbando alisema “Airtel YATOSHA imefanikiwa kupunguza gharama za
mawasiliano nchini hivyo tumeamua kuingia Morogoro kwa kishindo kuanza
matamasha yetu ya kutoa elimu kuhusu huduma hii ya Airtel yatosha ili
wananchi waitumie na kufaidika zaidi" alisema.
Zaidi
zaidi pia tumejipanga kutoa burudani kwa wananchi kwa kufanya matamasha
haya ambapo tutazunguka kila pande waliko wateja wetu ili pia
kuendeleza ushkaji wetu na wateja wetu nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment