Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 3, 2013

WASHITAKIWA WA GHOROFA LILILOPOROMOKA DAR WAFIKISHWA MAHAKAMANI


 Washitakiwa katika kesi ya kuua bila kukusudia kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 Mtaa wa Indira Ghandi, Dar es Salaam, Machi 29, mwaka huu, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo, baada ya kusomewa mashitaka yanayowakabili.
Washitakiwa katika kesi ya kuua bila kukusudia kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 Mtaa wa Indira Ghandi, Dar es Salaam, Machi 29, mwaka huu, wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo, wakisubiri kusomewa mashitaka yanayowakabili.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...