Washitakiwa katika kesi ya kuua bila kukusudia kutokana na kuporomoka
kwa jengo la ghorofa 16 Mtaa wa Indira Ghandi, Dar es Salaam, Machi 29,
mwaka huu, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es
Salaam, leo, baada ya kusomewa mashitaka yanayowakabili.
Washitakiwa katika kesi ya kuua bila kukusudia kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 Mtaa wa Indira Ghandi, Dar es Salaam, Machi 29, mwaka huu, wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo, wakisubiri kusomewa mashitaka yanayowakabili.

No comments:
Post a Comment