Tuesday, May 7, 2013

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA


  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk.Emmanuel Nchimbi akitoka nje ya  ukumbi wa Bunge mjini Dodoma   leo mara baada ya kuwasilisha hotuba  yake ya  makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake mwaka wa fedha 2013/2014 na kauli ya serikali kufuatia mlipuko wa bomu mjini Arusha. Kushoto ni Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijika na kulia ni Mbunge wa   Jimbo Kigoma Kusini, David  Kafulila.
 Baadhi wa askari polisi, magereza na uhamiaji wakiwa katika viwanja vya Bunge , mjini Dodoma mara  baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk.Emmanuel Nchimbi akitoka nje ya  ukumbi wa Bunge leo mara baada ya kuwasilisha hotuba  yake ya  makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake  kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk.Emmanuel Nchimbi akitoka nje ya  ukumbi wa Bunge mjini Dodoma   leo mara baada ya kuwasilisha hotuba  yake ya  makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake mwaka wa fedha 2013/2014 na kauli ya serikali kufuatia mlipuko wa bomu mjini Arusha. Kushoto ni Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijika na kulia ni Mbunge wa   Jimbo Kigoma Kusini, David  Kafulila.

No comments:

Post a Comment