Nguza
Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa
katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania jijini Dar es Salaam leo,
kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo
kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo. Nguza na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha jela
baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na ulawiti. |
No comments:
Post a Comment