BABU SEYA NA MWANAYE WAANZA KUSIKILIZWA RUFAA YAO NA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFAA
Nguza
Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa
katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania jijini Dar es Salaam leo,
kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo
kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo. Nguza na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha jela
baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na ulawiti.
Nguza Vicking 'Babu
Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha
Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa
yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari
10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza Vicking akipunia watu mahakamani
Nguza Vicking 'Babu
Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza 'Papii' wakiwa na nyuso za furaha
wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji wa Mahakama ya
Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia
hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
No comments:
Post a Comment