Muasisi
wa Mfuko wa Elimu ya Bonnah Trust Fund,Bi. Bonnah Kaluwa ambaye pia ni
Diwani wa kata ya Kipawa,jijini Dar es Salaam akizungumza machache
wakati wa hafla fupi ya Uzinduzi rasmi wa Mfuko wa Kuhamasisha elimu ya
Tanzania ili isonge mbele uitwao Bonnah Trust Fund,uliofanyika mapema
leo asubuhi kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Mgeni
Rasmi katika Hafla hiyo ya Uzinduzi rasmi wa Mfuko wa Kuhamasisha elimu
ya Tanzania ili isonge mbele uitwao Bonnah Trust Fund,Meya wa Ilala,Mh.
Jerry Silaa akisisitiza jambo muda mfupi kabla ya kuzindua Mfuko
huo,mapema leo asubuhi kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Kutoka
Kushoto ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga,Meneja
wa Huduma kwa Jamii kutoka kampuni ya Tigo,Bi Woinde Shisael,Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni,Mh. Mushi,Muasisi wa Mfuko wa Elimu ya Bonnah Trust
Fund,Bi. Bonnah Kaluwa pamoja na Mgeni Rasmi kwenye hafla hiyo,Meya wa
Ilala,Mh. Jerry Silaa wakifurahia jambo mara baada ya kufanyika kwa
Uzinduzi Rasmi wa Mfuko wa Bonnah Trust Fund,mapema leo asubuhi kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment