Mahafali ya
 19 ya chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) 
yamefanyika ijumaa ya desemba 13 mwaka huu ambapo wahitimu katika ngazi 
za stashahada na cheti kwenye fani ya uandishi wa habari na mawasiliano 
ya umma, na mahuasiano ya umma wamehitimu.
Tazama picha za baadhi ya matukio wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar es Salaam.
 Mgeni  rasmi akiwa katika meza kuu  na Mkuu wa chuo , pamoja na viongozi wengine wa chuo na viongozi wa Serikali ya wanafunzi  
 Kutoka kushoto ni Fabian, Dotto Mandolin Kahindi, Abushehe Nondo, Benjamin Mwangoka
Rais Mstaafu wa DASJOSO Alfred Ochali akisoma risala
 Mkuu wa Chuo cha DSJ, Joachim Rupepo akitoa hotuba yake na kumkaribisha mgeni rasmi kutoa nasaha zake 
 Wahitimu wakiwa wanasikiliza kwa umakini hotuba kutoka kwa mgeni rasmi
Kutoka kushoto ni  Anifa, Grace, Zourha na Cartace ambao pia walikuwa wahitimu katika mahafali hayo
Wahitimu wakiwa wanatunukiwa 
Wahitimu wakiwa wanatoa mkono wa Shukurani baada ya kutunukiwa vyeti katika ngazi mbalimbali 
Wahitimu wakiwa katika pozi baada ya kumaliza mahafali
Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu zao 
Kutoka kushoto ni Elizabeth Lazaro akiwa na Jackline  Marandu ambao pia ni wahitimu.
 Wageni waalikwa wakiwa wanafuatilia kwa makini kinacho endelea katika mahafali hayo  
 Kwaito time



No comments:
Post a Comment