Friday, March 7, 2014

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MJINI IRINGA LEO KUHUSU UCHAGUZI WA JIMBO LA KALENGA


 Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl Nyahoza akifafanua jambo  mbele ya Waandishi wa Habari  (hawapo pichani) mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa Ruaha International,mkoani Iringa kuhusiana na masuala  mbalimbali yanayohusu uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la kalenga,  ikiwa ni pamoja na Sheria ya gharama za Uchaguzi kwa wagombea na vyama  husika vinavyoshiri katika Uchaguzi huo utakaofanyika machi 16 mwaka  huu.
Pichani wa tatu kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl  Nyahoza akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo asubuhi kwenye  Ukumbi wa Ruaha International,mkoani Iringa kuhusiana na masuala  mbalimbali yanayohusu uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la kalenga,  ikiwa ni pamoja na Sheria ya gharama za Uchaguzi kwa wagombea na vyama  husika vinavyoshiri katika Uchaguzi huo utakaofanyika machi 16 mwaka  huu.Shoto ni Bwa.Mihayo Kadete,Erald Martin na kulia ni Isaya Makoko  ambao wote ni Maofisa Sheria kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Baadhi ya Wanahabari wakiwa kwenye mkutano uliondaliwa na Ofisi ya Msajili wa  Vyama vya Siasa kuhusiana na Uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga  mapema leo asubuhi,na pia Ofisi ya Msajili wa Vya Siasa kujtambulisha  uwepo wake katika zoezi zima la uchaguzi wa Kalenga sambamba na  kuwafahamisha Wananchi zinazofanywa na Ofisi za Msajili wa vyama vya  siasa tangu Maafisa wa Ofisi hiyo wafike mjini Iringa.
Msajili  wa Vyama vya Siasa nchini,Jaji Francis Mutungi akifafanua jambo kwa Wanahabari mapema leo asubuhi,mkoani Iringa.MICHUZIJR-MICHUZI MEDIA GROUP-IRINGA

No comments:

Post a Comment