Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli naEmilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane katikati ni Mratibu wa mpambano huo Anton Rutta picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli naEmilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane makubaliano hayo yalifanyika Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach,blogspot.com |
Mabondia Emilio Norfat wa pili kushoto akitia saini ya kupambana na
Francis Miyeyusho kulia katika mpambano utakaofanyika
Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane makubaliano hayo yalifanyika Dar es salaam jana wengine ni Ibrahimu Kamwe na Anton Rutta Picha na www.superdboxingcoach,blogspot.com

Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunisha msuli pamoja
na Emilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kupanda uringoni Oktoba 5
katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu
BONDIA anaeshikilia nafasi ya pili kwa ubora nchini katika uzito wa featherweight kg 57 Emilio
Norfat anaefanya shughuli za kupigana nnje ya nchi mara nyingi ameapa
kustafisha ngumi bondia Fransic Miyeyusho watakapo zidunda siku ya
Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane
Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane
bondia huyo mwenye rekodi ya kupambana
mapambano 27 ambapo ameshinda 23 na kupoteza mapambano 4 ameapa kamwe
ato kubali kupeteza nafasi hiyi adimu kupatikana ambayo alikuwa
akitafuta siku zote akizungumza na waandisha wa habari mara baada ya
kutia saini mkataba wa kuzxipiga na Miyeyusho alisema mimi ni namba
mbili yeye ni namba moja kwa Tanzania hii hivyo nikimpiga tu mimi ndio
nakuwa nashikilia usukani katika nchi hii
nae bondia Francis Miyeyusho
anaeshikilia nafasi ya kwanza kwa ubora nchini amecheza mapambano 51
ameshinda 38 na kupoteza 11 na mapambano 2 akitoa droo
amesema ayupo tayali kabisa kupoteza
mpambano huo utakaopigwa katika jiji la Tanga uwanja wa Mkwakwani na
kuwataka mashabiki wake wote nchini kumuunga mkono kwa kwenda kuangalia
ngumi siku hiyo ambayo ni mara yangu ya kwanza kucheza katika mkoa huu
siku hiyo pia kutakuwa na huuzwaji wa
DVD ambazo zinatoa mwanga kwa
mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa
mbali mbali Duniani.
Wakiwemo mabondia bingwa wa dunia kama
Manny Paquaio,Floyd Maywether,Amir Khani, Mohamed Ali ,Mike Tayson na
wengine wengi wanaotamba na waliotamba katika mchezo huo wa masumbwi
Duniani
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ametoa wito kwa makampuni
mbalimbali kujitokeza kutoa sapoti ya mchezo wa masumbwi kwani ndio
mchezo pekee unaoweza kututoa kimasomaso watanzania tukafurahi
No comments:
Post a Comment