
 Waumini
 wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali 
jijini Dar es Salaam,wakiwa wamejumuika pamoja kwenye viwanja vya 
Jangwani jijini kwa swala ya Idd el Hajj mapema leo asubuhi.Waislam hawa
 wanaungana na wenzao waliopo kwenye Idada ya Hija huko Makka.

 Waumini
 wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali 
jijini Dar es Salaam wakisoma dua mara baada ya Swala ya Idd el Hajj 
iliyoswaliwa mapema leo asubuhi kwenye viwanja vya Jangwani,jijini.

 Maalim akitoa Mawaidha katika swala hiyo ya Idd el Hajj katika viwanja vya Jangwani,jijini Dar es Salaam leo.


 Waumini
 wa Kiislam wakiondoka kwenye viwanja vya Jangwani,jijini Dar es Salaam 
mara bada ya swala ya Idd el Hajj.PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG
No comments:
Post a Comment