Mwenyekiti
 wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman 
Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakifurahi na 
kuimba wimbo wa chama wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma 
leo.
 Mwenyekiti
 wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri 
kuu ya CCM (NEC)  kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini 
Dodoma leo.
 Mjumbe
 wa NEC, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. 
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wajumbe wenzake baada ya kuwasili
 ukumbini humo, mijini Dodoma leo.
 Wajumbe wa Mmkkutano huo....
 Wajumbe wa Mkutano huo wakisalimiana ukumbini humo...
 Mwenyekiti na Katibu wake wakielekezana jambo kabla ya kufungua kikao hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman akieleza taarifa za kikao.....
 Wajumbe wa Kikao hicho wakifurahia jambo.....








No comments:
Post a Comment