Burudan Mwanzo - Mwisho

Thursday, December 25, 2014

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YATOA ZAWADI YA XMAS NA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi mwanafunzi Alice Chacha  anaeishi na kulelewa katika kituo cha yatima cha Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu 

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi Deogratius Hamisi zawadi ya vyakula kwa ajili ya Xmas na mwakas mpya  zilizotolewa na kampuni hiyo
 kwa watoto yatima wa Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu 
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi  Sister Oliva Paul zawadi ya vyakula kwa ajili ya Xmas na mwaka mpya  zilizotolewa na kampuni hiyokwa watoto yatima wa Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA








Super D (Mnyamwezi) at 1:17 PM

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.