Mkurugenzi wa Mikakati
na Biashara wa Benki ya Azania, Mwanahiba Mzee (kulia), kwa niaba ya
mkurugenzi mkuu wa benki hiyo, akimkabidhi kiongozi wa wagonjwa wa ndani
wa Hospitali ya Rufaa ya Amana, Francis Yango (kushoto), dawa na vifaa
vya usafi vyenye thamani ya sh.milioni 5 vilivyotolewa na benki hiyo
ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake Dar es Salaam leo asubuhi. Wapili
kulia ni Muuguzi wa zamu,Getrude Massawe na Antusa Lasway.
Wafanyakazi wa benki ya Azania wakiwa mbele ya vifaa na dawa walivyotoa msaada kwa Hospitali hiyo.
Hapa ni furaha tupu kabla ya kukabidhi msaada huo.
Makabidhiano zaidi ya msaada huo ukitolewa
No comments:
Post a Comment