TIGO YATOA MSAADA WA VYANDARUA KWA HOSPITALI YA UKEREWE
Mkurugenzi
wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya(fulana ya blue),
akimkabidhi Vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya
Ukerewe Dk Kaniki Titus,kwenye hafla ya Makabidhiano iliyofanyika Mwanza
juzi.
Mkurugenzi wa Mikakati(Director of Strategy)wa tigo Kobbina Awuah(wa tatu kushoto) akimkabidhi
Vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe Dk
Kaniki Titus,kwenye hafla ya Makabidhiano iliyofanyika Mwanza juzi.
No comments:
Post a Comment