Thursday, May 20, 2010

CHAI BORA YAKABIDHIWA CHETI CHA KUTAMBULIKA KIMATAIFA




DAVID GACHOKI AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA HIYO JANA



Baadhi ya wafanyakazi wakiwa wameshikilia kwa pamoja cheti cha kutambuliwa kimataifa baada ya kukabidhiwa Dar es salaam jana


j Mongai akitoa hutuba wakati wa hafla hiyo


wadau wakibadilishana mawazo

wadau wa chai wakiwa katika hafla hiyo Dar es salaam jana

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya chai bora wakiwa katika picha ya pamoja


Ofisa wa Kampuni ya Bureau Veritas inayopasisha viwango vya ubora wa mazao ya usindikaji Kimataifa Bw. Andrew Kinyanjui (kulia) akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Chai Bora Bw. David Gachoki Dar es salaam juzi, anaeshuudia katikati ni naibu katibu wa wizara ya Kilimo,Chakula na Ushirika Bi.Sophia Kaduma.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment