Marquee
tangazo
Saturday, June 5, 2010
SAMSUNG WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI
GENERAL MANAGER HHP DIVISION EAST&CENTAL AFRCA wa SAMSUNG,Patricia King'ori akiwapa maelekezo washindi waliofika katika duka lao lililopo mtaa wa samora, kuchukuwa zawadi zao baada ya kushinda katika bahati nasibu ya tambua simu halisi
Maofisa wa Samsung wakifungua zawadi mbalimbali kabla ya kuwakabidhi washindi
Washindi mbalimbali wakikabidhiwa zawadi zao
GENERAL MANAGER HHP DIVISION EAST&CENTAL AFRCA wa SAMSUNG,Patricia King'ori akimkabithi, Hilda Mushi, chombo cha kupasha vyakula mbali mbali baada ya kushinda katika bahati nasibu ya tambua simu halisi zawadi hizo zimekabidhiwa Dar es slaam leo katikati ni mwakilishi wa Samsung Bw. Josephine Kimani
GENERAL MANAGER HHP DIVISION EAST&CENTAL AFRCA wa SAMSUNG,Patricia King'ori akimkabithi, Elirehema E'ngaa, DVD baada ya kushinda katika bahati nasibu ya tambua simu halisi zawadi hizo zimekabidhiwa Dar es slaam leo katikati ni mwakilishi wa Samsung Bw. Josephine Kimani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment