WASHINDI WATAPATIKANA NA WALIPATIKANA KUZAWADIWA ZAWADI ZAO KESHO
MCHAKATO WA KUTAFUTA WASHINDI UNAENDELEA
Meneja Masoko wa Kampuni ya Samsung Tanzania Bi, Amina Iddi katikati akibonyeza kitufe kwa ajiri ya kumpata mshindi wa kwanza wa Promosheni ya kusajiri simu za kampuni hiyo Dar es salaam jana, ambayo inamuonesha kuwa ni bora kulia ni Msimamizi wa MIchezo ya kubahatisha Nchini Bw. Abdallah Hemed na Meneja wa Kampuni hiyo wa Uganda na Tanzania.
Mimi pia ni mfaidika na hoyo promossion, nimejipatia samsung s8003 mpya kabisa.
ReplyDeleteRespicius