Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 3, 2011

TAIFA STARS, ALGERIA WAFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA KABLA YA KUPEPETANA


Kocha wa timu ya Taifa Taifa Stars Jan Paulsen akiongea na wachezaji wa timu hiyo wakati wa mazoezi yao ya mwisho yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo jijini Dar es salaam, kabla ya mchezo wao utakaochezwa kwenye uwanja huo kesho kabla ya Taifa Stars kufanya mazoezi walizana wachezaji wa timu ya taifa ya Algeria.
Mmoja wa maafisa kutoka shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF Saad Kawemba katikati akiongea na Mkuu wa Utawala wa Timu chama cha soka Algeria Salh Boetgn (kulia) kushoto ni Asma Halimi mwandishi wa habari kutoka Algeria.
Wachezaji wa Algeria wakifanya mazoezi katika uwanja wa Taifa jioni ya leo.
Wachezaji wa timu ya taifa Taifa Stars wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa taifa leo hioni kabla ya kupepetana na Algeria Kesho kwenye uwanja hu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...