Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu
uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi
wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai
Kibaigwa mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja Habari Elimu na Mawasiliano,
Sylvia Lupembe.
Meneja
Habari Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylvia
Lupembe akifafanua jambo kuhusu uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya
ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini
utakaofanyika tarehe 14 Julai Kibaigwa mkoani Dodoma. Katikati ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo na
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Rasilimali Watu, Seif Mohamed.
Mkurugenzi
wa Uhamasishaji Rasilimali Watu, Seif Mohamed akifafanua jambo kuhusu
uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi
wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai
Kibaigwa mkoani Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo.
No comments:
Post a Comment