Thursday, August 16, 2012

BONDIA SANDE KIZITO TOKA UGANDA AWASILI KUMKABILI RAMADHANI SHAURI SIKU YA IDI PILI


Bondia Sande Kizito wa Uganda
Bondia Sande Kizito katikati akiwa amewasili katika jiji la Dar es salaam usiku wa leo akitokea Uganda kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauri siku ya Idi pili kushoto ni mwenyeji wake aliyempokea Yasini Abdallah picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Sande Kizito akiwasili akitokea Uganda kwa ajili ya kumkabiri mpinzani wake Ramadhani Shauri la kugombea ubingwa wa IBF Africa litakalofanyika siku ya Idi pili picha na  www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Sande Kizito wa Uganda kulia akiwa na kocha wake Bogere Francis baada ya kuwasili usiku wa leopicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment