Monday, August 13, 2012

Rais Kikwete awasili kutoka Ghana, afuturu na watoto Yatima na Walemavu Ikulu


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wan chi hiyo Marehemu John Atta Mills. Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamnyange.

Baadhi ya watoto yatima na walemavu wakishiriki katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakigawa zawadi kwa watoto yatima na walemavu waliohudhuria futari waliyowaandalia ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment