| mchambuzi wa miziki ya zamani Rajabu Zomboko katikati akiimba sambamba na wanamziki wa bendi ya msondo ngoma kushoto ni Eddo Sanga na Romani Mng'ande wakati wakitumbuiza leo katika ukumbi wa max bar ilala bungoni burudan zinaendelea mpaka saa sita na nusu usiku |
No comments:
Post a Comment