Saturday, October 20, 2012

JAPHET KASEBA AWAKUTANISHA MABONDIA WA UZITO WA JUU NA PROMOTA WA UZITO WA JUU

Bondia Evander Holyfield akiwa na Promota wa GYM yake ya Marekani Joel Andrews ambaye yupo nchini kwa ajili ya kusaka mabondia wa uzito wa juu kwenda kuishi nnje na kufanya mapambano yao Marekani

Promota wa GYM  ya

Bondia Evander Holyfield

  Marekani Joel Andrews kushoto akimwangalia mmoja wa wadau wa mchezo uho jinsi anavyojalibu kufanya mazoezi ya kutupa masumbwi wa pili kushoto ni JAPHET KASEBA ambaye ni mwejeji wake anaefundisha ni Ali Ramadhani 'Van Dame' picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa mchezo wa masumbwi katika GYM ya Kaseba Ali Ramadhani 'Van Dame' akimwelekeza bondia wa uzito wa juu Ramadhani Kido  jinsi ya kutupa masumbwi kushoto ni

Promota wa GYM  ya

Bondia Evander Holyfield

  Marekani Joel Andrews ambaye alitembelea hapo kuangalia mabondia wa uzito wa juu kwa ajili ya kuwapatia nafasi ya kucheza mchezo wa masumbwi na kuishi marekani wa pili kushoto ni Japhert Kaseba ambaye ndiye mwenyeji wake picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa mchezo wa masumbwi katika GYM ya Kaseba Ali Ramadhani 'Van Dame' akimwelekeza bondia wa uzito wa juu Alphonce Mchumia Tumbo   jinsi ya kutupa masumbwi  kushoto ni

Promota wa GYM  ya

Bondia Evander Holyfield

  Marekani Joel Andrews ambaye alitembelea hapo kuangalia mabondia wa uzito wa juu kwa ajili ya kuwapatia nafasi ya kucheza mchezo wa masumbwi na kuishi marekani wa pili kushoto ni Japhert Kaseba ambaye ndiye mwenyeji wake picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Promota wa GYM  ya

Bondia Evander Holyfield

  Marekani Joel Andrews wa pili kushoto akiwa na mabondia wa uzito wa juu waliojitokeza kwa ajili ya kuwaona na kufawafanyia mipango ya kwenda kucheza ngumi Marekani na kuishi huko kushoto ni

Japhert Kaseba ambaye ndiye mwenyeji wake picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Promota wa GYM  ya

Bondia Evander Holyfield

  Marekani Joel Andrews wa pili katikati akiwa na mabondia wa uzito wa juu waliojitokeza kwa ajili ya kuwaona na kufawafanyia mipango ya kwenda kucheza ngumi Marekani na kuishi huko kulia kwake  ni

Japhert Kaseba ambaye ndiye mwenyeji wake picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment