Thursday, October 11, 2012

MAANDALIZI YA FILAMU MPYA YA RAY ITWAYOSISTER MARRY

 

 

 Baadhi ya wadau msiwe wajuaji sana kabla ya kitu kukijua kuwa  mjinga ili ujue mengi usijifanye mjuaji wakati ujui chochote, nadhani kwa wahusika ujumbe utakuwa umefika na waswahili wanasema kuwa kukaa kimya ndio jibu la mjinga, hili ndio kasha la movie yangu mpya inayokwenda kwa jina la Sister Marry iliyotengenezwa na kampuni yako bora ya Rj Company, si mzigo wa kuukosa maana umejaa mafunzo mengi sana lengo ni kufundisha kama kawaida yangu na sikuikashifu dini wacha tuone mambo yaliyofuata uko chini..

 Mt Maxmillian Corbe..

 Watawa wakiwa makini kusikiliza mafunzo.

 Masister wakiwa kwenye Ibada.

 Masister wakipata chai ya pamoja.

On set ofisini kwa Sister Mkuu.

 Father Criss wa kulia akiwa na Askofu

Baada ya Ibada.

a
 On Set.......

 Sister Mkuu na Father Criss wakiwa kazini..

 Majukumu ya kikazi yakiendelea.

 Father Criss na Sister Marry mwenyewe ambaye ni Irene Uwoya..

 Scene za Hospital..

Picha ya pamoja baada ya kazi kumaliza kwa siku hiyo..

No comments:

Post a Comment