Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katikati akichangia
katika harambee ya kikundi cha Habari Group ambao ni waanishi wa Habari
waliojikusanya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na pia kuhudumia jamii
isiyojiweza kikundi hicho kinaendeshwa chini ya jumuiya ya kukuza
uchumi Ilala 'Jukuila' kikundi hicho kimezinduliwa March 8 Mlezi akiwa
ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki wa pili kulia
Udhinduzi huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya
Lamada kushoto ni mratibu wa hafla hiyo Bi, Rabia Bakari picha na www.burudan.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment