Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha
Rose Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha
Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais
Kikwete.
Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano mjini Arusha(picha na Freddy Maro)
Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano mjini Arusha(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment