Afisa
Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson
akitoa ufafanuzi juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko wa
Pensheni wa PPF kwa wateja waliotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho
ya Sabasaba yanayoendelea Kufanyika katika viwanja hivyo.
Afisa
Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,
Happiness Mmbando (Kulia) akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea
banda la PPF katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa
yanayoendelea Katika Viwanja vya Sabasaba, Jijini Dar Es Salaam.
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwahudumia wateja waliotembelea banda la
PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya
Mwalimu Nyerere, Jijini Dar Es Salaam
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwa katika picha ya Pamoja na Mmiliki wa
Mtandao wa Michuzi, Ndg Muhidin Issa Michuzi(mwenye suti nyeusi) mara
baada ya kukabidhiwa zawadi na PPF wakati alipotembelea Banda la PPF
kwenye maonyesho ya Sabasaba.
Mwandishi
wa Habari mkongwe, Ndg Abdallah Majura (wa kwanza kushoto) akiwa katika
picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mfuko na Pensheni wa PPF pamoja na
Mdau wa habari wakati walipotembelea banda la PPF katika viwanja vya
maonyesho ya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar Es Salaam.Picha
Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment