Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni
alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo
(jana).
Baadhi ya watumishi wa
Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Y. Sefue (hayupo pichani) katika Kituo cha Taifa cha Utunzaji
Kumbukumbu (NRC) Dodoma.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (katikati), akiwa na Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (wa kwanza kulia) katika
moja ya sehemu za kuhifadhi kumbukumbu katika Kituo cha Taifa cha
Utunzaji Kumbukumbu, kushoto kabisa anayetoa maelezo ni Mkurugenzi
Msaidizi Utumishi Bw. Joseph Ndauka.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto), pamoja na Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi wakipitia moja ya jalada
lililofunguliwa mwanzoni mwa miaka ya 60.
No comments:
Post a Comment