Meneja wa Huduma za Wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, Gabriel Kamukara, akimsaidia mteja kusajili namba yake ya simu wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipofanya ziara maalum ya kuwatembelea wateja wake katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam jana ili kupata maoni juu ya huduma kutoka kwa watumiaji wa mtandao wa Zain
Marquee
tangazo
Thursday, August 5, 2010
ZAIN YATANGAZA SHILINGI MOJA YA KWELI MTAANI
Meneja wa Huduma za Wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, Gabriel Kamukara, akimsaidia mteja kusajili namba yake ya simu wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipofanya ziara maalum ya kuwatembelea wateja wake katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam jana ili kupata maoni juu ya huduma kutoka kwa watumiaji wa mtandao wa Zain
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment