Kikosi cha Usalama Barabarani chaendesha ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi wa Airtel
Koplo
Jumaa Mwalimu wa Kituo cha Polisi Oysterbay akikagua gari la mmoja wa
wafanyakazi wa Airtel, Bi. Susan Kajubili wakati kikosi hicho,
kilipoendesha zoezi la ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi Airtel katika
kutimiza lengo la wiki ya Nenda kwa usalama barabarani, liliyofanyika
katika makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam.
Koplo Jumaa Mwalimu akikagua tairi la gari la mmoja wa wafanyakazi wa Airtel, James Majwala.
Mkaguzi wa Polisi Bw. Serengeti akiingia katika moja ya gari la mfanyakazi wa Airtel, Bi. Aminata Nakieta tayari kwa ukaguzi.
No comments:
Post a Comment