Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bi.
Joyce Mkinga(Kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
kuhusu ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika utekelezaji wa mpango wa
Maendeleo kwa mwaka 2013/2014,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa
Idara ya Habari(MAELEZO) Leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari
wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi. Fatma Salum.
Mchumi
Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bw. Andrea
Aloyce(Kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu
Mpango wa serikali wa kuongeza mikopo kwa sekta binafsi kufikia
asilimia 20 ya Pato la Taifa ifikapo June 2014 kutoka asilimia 18 Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Ofisi hiyo Bi. Joyce Mkinga. Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
No comments:
Post a Comment