Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimfafanulia jambo Mkurugenzi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Wahamiaji (IOM) Kanda ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika, Ashraf
El Nour alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi
huyo wa IOM alifika ofisini kwa Dk Nchimbi kwa lengo la kubadilishana
mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika
la Umoja wa Mataifa linalohusika na Wahamiaji (IOM) Kanda ya Afrika
Mashariki na Pembe ya Afrika, Ashraf El Nour alimpomtembelea ofisini
kwake jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana
na masuala mbalimbali ya wahamiaji. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa IOM
nchini, Damien Thuriaux.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Wahamiaji (IOM) Kanda ya
Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika, Ashraf El Nour kwa kumtembelea
ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kubadilishana mawazo
kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji. Kulia ni Mwakilishi Mkazi
wa IOM nchini, Damien Thuriaux. Picha na Felix Mwagara, Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi. KITENGO
CHA MAWASILIANO YA SERIKALI.WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment